Home
Blog ya MtuKwao
Tovuti Zetu
Huduma
Burudani
Matukio
Biashara
TV Live
Kujitolea
Makazi
Gazeti la Mwezi
Washauri
Tanzania
Kuhusu Mimi
Tuwasiliane

XML RSS
What is this?
Add to My Yahoo!
Add to My MSN
Add to Google
 

Matukio Motomoto

Matukio mbalimbali motomoto yanayowahusu washirika wa hii tovuti yanayotekea nyumbani Tanzania na nje ya nchi, kibiashara, kielimu, kisiasa na burudani.

________________________________________________________________

Washirika wenzetu wa Kibira Films wanatangaza siku rasmi ya ufunguzi wa sinema yao mpya ya Bongoland II Jumamosi tarehe 5 April saa 11 na saa 1 jioni, Minneapolis, Minesota.

Tafadhali hebu angalia "Trailer" za simema yenyewe;

________________________________________________________________

Hii ni "traler" yao ya kwanza, mara ya kwanza kuiona ilinifanya niisubiri hii sinema kwa hamu kubwa sana!

Kwa taarifa zaidi ingia kwenye tovuti yao; Bofya hapa ________________________________________________________________

Tanzania Development Forum For Youth(TDFY) kwa kushirikiana na SisiMizi Tanzania Limited, wataendesha semina wanayoiita "Compact Seminar on Development Series II - Empowering Young Entrepreneurs with Export-Led Economic Growth"

Kwa taarifa zaidi kuhusu hii semina fungua faili hili; Compact Seminar on Development Series II


footer for matukio page