Home
Blog
Tovuti Zetu
Huduma
Burudani
Matukio
Biashara
TV Live
Kujitolea
Makazi
Gazeti la Mwezi
Washauri
Tanzania
Kuhusu Mimi
Tuwasiliane

[?] Subscribe To This Site

XML RSS
Add to Google
Add to My Yahoo!
Add to My MSN
Subscribe with Bloglines

 

Viwanja na nyumba za kupanga au kununua

Mimi naamini, naweza nikawa nakosea! umuhimu wa kuwa na kibanda chako ni mkubwa sana nyumbani kuliko nchi za nje watanzania wengi wanakoishi. Kwanza ni urithi kwa familia yako, heshima na ni kwako hapo baadaye utakapokuwa mzee patakuifadhi.

Watanzania wengi wanaioshi nje wanaweza kununua nyumba kwa mfumo wa kukopeshwa, mradi tu wana kazi na ulipaji wao wa madeni si mbaya sana!

Katika kuhangaika kutafuta viwanja au kujenga, watanzania waishio nje wana habari nyingi tofauti, nyingine za kufurahia, kuchekesha na nyingine za kusikitisha. Kuna kampuni nyingi zinazosaidia shughuli mbalimbali za makazi nyumbani kama unampango wa kutaka kununua nyumba au kupanga, au unafuta kiwanja;

Tanzania tujitahidi tuanze kufanya mambo kama ya hawa wenzetu wa Ghana.


Tovuti mbalimbali zinazohusu shughuli za makazi nyumbani;

Wizara ya Ardhi

National Housing Corporation

South Beach Resort

Tz Adverts

NHBRA

Mutual Developers Limited

Property Guide-Tanzania

Chimati Realties Limited

Dar-es-Salaam