|
| |
Gazeti pepe la kila mwezi
Kama umeipenda hii tovuti basi utapenda Gazeti Pepe nitakalokuwa natuma kila mwezi. Litakuwa na habari mpya na motomoto zinazotekea nyumbani na nje zinazotuhusu sisi watanzania kama ni za kibiashara, huduma, sheria au burudani.
Tafadhali naomba ujiandikishe hapo chini ili usikose toleo lako la kila mwezi. Naahidi sitagawa wala kuuza barua-pepe yako kwa mtu yeyote.
|
|
Dar-es-Salaam

|